Mtazame mrembo huyu ambaye ameamua kujiingiza katika
matangazo ya nguo katika moja ya duka kubwa la nguo hapa mjini(Mwenge)
Kwa mujibu wa utamaduni wa mtanzania style za dada zetu hawa
hasa huyu pichani ni zaidi ya kutiana
nyege tu maana huacha wazi sehemu zao zinazo sisimua wanaume na kuwaacha ktk
hali ya matamanio.
Yaaani ni shiiiiiiida, japo mwenzetu ndo yupo
kazini na asipo fanya hivyo mkono hauendi kinywani.Hufanya hivyo ili kuwavutia
wateja wawezi fika katika duka husika ,Paparazi wetu alijaribu kumtafuta ili
ajue kwa nini ameamua fanya hivyo lakini hakufanikiwa kabisa. Je msomaji huu ni udhalilishaji kwa wanawake au ni fahali kwao maana sidhani
kama wanashurutishwa au ndo ukamataji wa fursa ………….. Na je amemtendea haki Yule atakaye
muoa.
Lakini mie nasema hayo si matangazo bali ni kutiana nyege
tu.
Mtazame vizuri pichani hapa chini