ULIMWENGU

  • HOME
Home → Udaku → PICHA 5:MSANII WA BONGO FLEVA LIVE ANASWA AKINUNUA MACHANGUDOA

PICHA 5:MSANII WA BONGO FLEVA LIVE ANASWA AKINUNUA MACHANGUDOA

Unknown
Add Comment
Udaku
Tuesday, August 19, 2014

WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na wanawake wanaojiuza katika eneo maarufu kwa machangudoa la Sinza Africasana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.



Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' akitega 'mingo' kujiopolea machangu maeneo ya Sinza Africasana jijini Dar.
Wabibi anayetamba na kibao chake cha Kitenge kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga nchini, usiku wa saa saba alikuwa akivinjari katika viwanja hivyo, akichagua kama wafanyavyo wateja wa nguo dukani.



Msanii Ramadhan Shaban 'Wabibi' akipatana bei na mmoja wa machangudoa.
Bila kuchelewa paparazi wetu alifika eneo la tukio kwa pikipiki na kumkuta staa huyo akiendelea na chaguachagua yake kwa akinadada waliovalia kihasara ili kuwavutia wanaume wakware.Mwanga wa kamera zetu hata hivyo haukuonekana kumshtusha sana msanii huyo ambaye alijichekesha na kujifanya kuendelea na shughuli nyingine, kama walivyokuwa wakifanya watu wengine katika eneo hilo linalosifika kwa biashara ya ukahaba jijini Dar.



 Ramadhan Shaban 'Wabibi' akiwa na changudoa mwingine.
Baada ya kujipatia picha za kutosha za tukio hilo na kuondoka eneo hilo, makamanda wa OFM hawakwenda kulala, bali waliendelea na uchunguzi wao katika mitaa mbalimbali.Katika hali isiyotarajiwa, saa mbili baadaye, msanii huyo kwa mara nyingine alikutwa na OFM akiwa anaendelea na biashara yake ya sagulasagula ya machangudoa, lakini hivi sasa akiwa amehamishia kambi katika eneo la Sinza ya Mapambano.
Akiwa amevutiwa na mwanadada mmoja na kuanza kufanya naye mapatano ya bei, paparazi wetu alimuwahi kwa kumpiga picha, ambapo safari hii alishtuka zaidi na chapchap, akachukua Bajaj na kutokomea.   


'Wabibi' akikurupushwa na kamera zetu  katika eneo la tukio.
Wabibi aliwahi kuwa memba wa kundi la muziki la Suba Mkole, akijulikana kama Wambua Classic ambao walitoa albamu iliyotamba kwa jina la Sonde. 

Share this article :
Tweet
✚

Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

ZILIZOBAMBA TOP 10 NI . . .

  • LAANA:HUKU SASA NI KUTIANA NYEGE TU NA SI KITU KINGINE
    Mtazame mrembo huyu ambaye ameamua kujiingiza katika matangazo ya nguo katika moja ya duka kubwa la nguo hapa mjini(Mwenge) Kwa muj...
  • JINSI YA KUMRIDHISHA MWANAMKE KIMAPENZI
    Mambo matano (5) anayohitaji Mwanamke kutoka kwa Mwanaume Wanaume  hatimaye   kutambua kwamba  hawapo  peke yao  kitandani   na  ...
  • MWANAFUNZI AGAWA PENZI BAADA YA KUDANGANYWA KUWA ATAPELEKWA ULAYA
                                                                              Masikini huyu denti ajuta sana baada  ya  kufanyishwa ngo...
  • PICHA 5:MSANII WA BONGO FLEVA LIVE ANASWA AKINUNUA MACHANGUDOA
    WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota...
  • BARUA NZITO KWA DIAMOND PLATNUM HII HAPA
                                                   KWAKO Nasibu Abdul ‘Diamond’. Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na michakato y...
  • LAANA HII: PICHA ZA UCHI ZA MWANAFUNZI MATILDA WA MUMESCO ARUSHA ZAVUJA...
    Mwanadada huyu( Matilda Singano ) amekuwa akiwatumia wanaume picha hizo kwa ajili ya kuwatega.Embu tizama mwenyewe picha hizi za mwanadada h...
  • KELELE ZA MIGUNO YA KIMAPENZI KUTOKA CHUMBA CHA JIRANI ZINANIPAGAWISHA
    Mimi ni Kijana wa Miaka 25, nimeanza kazi hivi karibuni ikanilazimu kutoka nyumbani na kupanga maeneo  ya  kijitonyama ...Sasa hi...
  • PICHA ZA UTUPU/UCHI ZA MAUNDA ZORO ZILIZOSAMBAA MITANDAONI: NI LAANA KWA KWELI
    Niwazi picha zenyewe zinajieleza hapa chini
  • KAMERA ZETU ZIMEMNASA MAMA HUYU WA KISHUA HUKO MASAKI DAR AKIWA AMEKAA VIBAYA.JINA LAKE HALIJATAMBULIKA
      PICHA NYINGINE ZIMEFICHWA HAPA
  • FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI (TENDO LA NDOA)
                                                          1 : Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo Wanawake ambao hufika kilele angalau...

LABELS

  • Maajabu
  • Mapenzi
  • Udaku
Copyright 2014 ULIMWENGU
Template By Ridwan Hex And Game Gratis