ULIMWENGU

  • HOME
Home → Mapenzi → BARUA NZITO KWA DIAMOND PLATNUM HII HAPA

BARUA NZITO KWA DIAMOND PLATNUM HII HAPA

Unknown
Add Comment
Mapenzi
Tuesday, August 19, 2014

                                              
KWAKO
Nasibu Abdul ‘Diamond’. Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na michakato yako ya kujiingizia kipato. Binafsi mimi pia ni mzima wa afya na ninaendelea na mihangaiko yangu ya kila siku.

Leo nimekukumbuka kwa mara nyingine kupitia barua kutokana na mwenendo mzima wa maisha yako, hususan maisha ya kimapenzi.
Yawezekana ukaona kama nakushambulia lakini kimsingi lazima nikwambie ukweli kwa kuwa wewe ni kioo cha jamii.

Kama unavyojua, muziki wako unakubalika. Hilo halina ubishi, hata mimi mwenyewe ni shabiki wako mzuri, nafuatilia sana kazi zako, lakini kitendo chako cha kucheza na hisia za wanawake hakileti picha nzuri katika jamii inayokuzunguka, achilia mbali mashabiki wako wanaokufuatilia.
Takwimu inaonesha umekuwa na ‘trend’ ya kubadilibadili wanawake. Kinachonichosha zaidi ni pale unapoanzisha uhusiano na mwanamke na kisha kuachana naye kwa maneno ambayo hayaleti picha nzuri kwa mtu ambaye ‘mlishea’ naye vitu vingi katika uhusiano wenu.

Mbaya zaidi maneno hayo yanapokuwa ya udhalilishaji. Kwa nini umdhalilishe mwanamke eti kwa kuwa humhitaji kwa wakati huo? Siyo sawa hata kidogo, ni bora ukaishi na mtu hata kama mtafikia hatua ya kuachana, basi muachane kwa kheri.
Kipindi flani uliwahi kuwa na uhusiano na mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’, ukadaiwa kumrekodi sauti aliyekuwa mpenzi wako Wema Sepetu ambayo alikuwa akikuomba msamaha, ukairusha katika mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho hakikuwa sawa.

Kama hiyo haitoshi, baada ya kumwagana na Penny na kurudiana na Wema, juzikati tena nimesikia umemshushia maneno mpenzi wako huyo wa sasa kupitia mtandao wa Instagram.
Umeonesha kwamba wewe uko sahihi kutokana na mafanikio uliyoyapata na kuwataka watu wamshauri mpenzi wako apunguze starehe na maneno mengine yenye sura ya kumdhalilisha.

Kwa kitendo chako cha kuandika vile, kinaonesha dhahiri kabisa maneno yale yalikuwa na walakini. Yanaonesha udhalilishaji. Huwezi kumwambia mtu unayempenda ashauriwe na watu wengine. Yakupasa wewe umshauri kwa lugha nzuri na si kumnadi mitandaoni.

Tena mtu huyohuyo ndiye ambaye wiki kadhaa zilizopita ulimtolea kauli ‘tata’ ya kumwambia hutamuoa. Unategemea nini? Akueleweje?

Wema huyohuyo ndiye ambaye umemtumia katika moja ya shoo zako hivi karibuni na kufanya mashabiki wafurahie, kweli anastahili kuambiwa maneno hayo?

Kwa kulitambua hilo, nikushauri ubadilike kwa kila kitu unachotaka kumtendea mwandani wako, kauli kama hizo zinaweza kuwa sumu mbaya ambayo itakusumbua hata kama ukiwa na mafanikio kiasi gani. Waswahili wanasema mambo ya ndani yanabaki kuwa ya ndani, unapoona mwenzako anakosea, mweke chini mkiwa wawili umwambie.



Share this article :
Tweet
✚

Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

ZILIZOBAMBA TOP 10 NI . . .

  • LAANA:HUKU SASA NI KUTIANA NYEGE TU NA SI KITU KINGINE
    Mtazame mrembo huyu ambaye ameamua kujiingiza katika matangazo ya nguo katika moja ya duka kubwa la nguo hapa mjini(Mwenge) Kwa muj...
  • JINSI YA KUMRIDHISHA MWANAMKE KIMAPENZI
    Mambo matano (5) anayohitaji Mwanamke kutoka kwa Mwanaume Wanaume  hatimaye   kutambua kwamba  hawapo  peke yao  kitandani   na  ...
  • MWANAFUNZI AGAWA PENZI BAADA YA KUDANGANYWA KUWA ATAPELEKWA ULAYA
                                                                              Masikini huyu denti ajuta sana baada  ya  kufanyishwa ngo...
  • PICHA 5:MSANII WA BONGO FLEVA LIVE ANASWA AKINUNUA MACHANGUDOA
    WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota...
  • BARUA NZITO KWA DIAMOND PLATNUM HII HAPA
                                                   KWAKO Nasibu Abdul ‘Diamond’. Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na michakato y...
  • LAANA HII: PICHA ZA UCHI ZA MWANAFUNZI MATILDA WA MUMESCO ARUSHA ZAVUJA...
    Mwanadada huyu( Matilda Singano ) amekuwa akiwatumia wanaume picha hizo kwa ajili ya kuwatega.Embu tizama mwenyewe picha hizi za mwanadada h...
  • KELELE ZA MIGUNO YA KIMAPENZI KUTOKA CHUMBA CHA JIRANI ZINANIPAGAWISHA
    Mimi ni Kijana wa Miaka 25, nimeanza kazi hivi karibuni ikanilazimu kutoka nyumbani na kupanga maeneo  ya  kijitonyama ...Sasa hi...
  • PICHA ZA UTUPU/UCHI ZA MAUNDA ZORO ZILIZOSAMBAA MITANDAONI: NI LAANA KWA KWELI
    Niwazi picha zenyewe zinajieleza hapa chini
  • KAMERA ZETU ZIMEMNASA MAMA HUYU WA KISHUA HUKO MASAKI DAR AKIWA AMEKAA VIBAYA.JINA LAKE HALIJATAMBULIKA
      PICHA NYINGINE ZIMEFICHWA HAPA
  • FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI (TENDO LA NDOA)
                                                          1 : Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo Wanawake ambao hufika kilele angalau...

LABELS

  • Maajabu
  • Mapenzi
  • Udaku
Copyright 2014 ULIMWENGU
Template By Ridwan Hex And Game Gratis