Mkazi mmoja wa jijini hapa amelazimika kutafuta ushauri na msaada baada ya tabia ya mke wake ya kukojoa kitandani kukithiri,Amedai kuwa awali mke huyo hakuwa na hali hiyo hivyo hali hiyo ilipo anza alikuwa akimsingizia mtoto wao wa kwanza.
Baada ya utafiti mume amegundua kuwa ni mkewe na si mtoto baada ya kumwambia mkewe amekili kweli hali hiyo amekuwa nayo baada ya kujifungua.Mume amejitahidi kuficha siri hiyo kwa ndugu maana watamchukia mkewe lakini kwa sasa hali imekithiri na kufikia stage ya kutofurahia tendo la ndoa ambalo humalazimu kufanyika katika godoro lililoloa.
''Kiukweli mke wangu nampenda sana na mwanetu kwa sasa amekwenda kumsalimia bibi yake hivyo tunashindwa namna ya kulianika godoro majirani watajua maana dama huwatunasingizia mtoto kalikojolea'' Nahitaji msaada wenu wasomaji