Kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa zetu wateja wa duka moja la
nguo hapa mjini Street Winners Botiq wamejikuta wakiishia kutizama picha za
kifua cha dada huyu (iina tumelihifadhi) kwani amekuwa ni kivutio zaidi hasa
kwa wanaume katika moja ya matangazo ya bidhaa za duka hilo,lakini cha
kushangaza wamekuwa wakiishai kutizama umbile la dada huyo na si kutizama
mavazi ambayo dada huyo amekuwa akiyatangaza au kuyaonyesha moja kwa moja akiwa
ameyavaa.
Hakika kila mtu amekuwa akitamani sana kumtongoza..
Baadhi ya watu wamekuwa na maoni tofauti wakidai kwamba kitendo cha dada huyu kuacha
sehemu ya kifua chake nje kimekuwa ni kero kwao hasa wanawake wakihofia
kuwakosa wanaume wao maana motto kajaaliwa.. Wengine wamedai dada huyo huenda
anania nyingine tofauti na anachokitangaza,kwani haina ulazima wa yeye kuweka
kifua nje…!!
“Lakini mwisho wa siku tunasema biashara matangazo”